Comments Off on Nafasi ya Kazi – Meneja Mkuu

ELCT ND SACCOS inawatangazia watanzania wenye sifa kujaza nafasi ya
kazi ya Meneja Mkuu kwa ajili ya kusimamia na kuendesha shughuli
zinazohusu Ushirika wa Akiba na Mikopo. Meneja Mkuu wa Chama
atakuwa ndiye msimamizii wa shughuli zote za chama za kila siku kwa
kuzingatia Sheria ya Vyama vya Ushirika, Sheria ya Huduma Ndogo za
Fedha na Kanuni zake, Sera, Masharti na miongozo ya ELCT ND SACCOS.

 

Bonyeza Hapa Kuomba Kazi au Pakua Tangazo la pdf hapa

Tags: Meneja_Mkuu